Mashemeji derby hapo ndeisa

April 10 2015 12:11pm     0 1715

Photo Credit:KenyaSmart   Tingua risto

On Sunday 6th April CBD ya hasapa kanairo itakuwa colourfull sana hawa ma arch-rivals wa futa hasapa 254 wakipatana. Kawaida ya fans wa kogalo watakuwa kwa jersey zao za green hasapo Tom Mboya statue kabla ya kumatch hadi uwanjo. Alafu wenzao Chingwe watakuwa jersey zao, strips za white na blue kwenye ngoma sukuti kuimba na kudance wakivukia tao hadi Nyayo stadia.

Hii ikiwa ndio mechi ya fao hii season wao kupatana itakuwa interesting sana. Derbey ya this round inajulikana kama ‘’paybill Derby’’ juu team zote mbili zimekuwa na ngori ya maganji. Riba tumekuwa tukiskia na players wakizusha ni eti hawajakuwa wakipata allowance zao juu ya bukla kusota.

Game yenyewe itakuwa hapo Nyayo National Stadium kuanzia magidhaa za saa tisa mchana. Tiko zitakuwa available na pande ya VIP itakuwa soo punch, alafu pande ya Rashia itakuwa berwa. Fomer koches wa Kogalo Zdravko Logarusic ndio atakuwa ana lead AFC Leopards, pande ya Gormahia FC itakuwa ina ongozwa na Coach Nuttal.

Related Stories