Mki ona wao! ...

October 14 2012 9:23am     0 1589

Photo Credit:Kipchumba Some   Tingua risto

Kuna hii risto ime tu manga mongo vibaya tu sana. Ati kuna ma yut nifla kutoka huko Dee wali recruitiwa kwa Al Shabab na sasa wamejitoklezea ku manuyuria ati juu walishowiwa mna watu wa Al Shabab ati wakuwe ready kama ma fighter.
Tuna jua poa sana hii risto si religious. Waache kutuchare ati ni jihad. Hata ma scholar wa kiislamu wame teta hao watu ni ma koni.
Sisi kitu tuta wa show ni kila mtu akae ridho ... mki ona wao ... ndailekt kwa karao! Hatuna Kenya mbekses yenye kuki nuka huku tutasema ati tuta enda Kenya B.

Related Stories