Mutuch kuleta kiblanda…

April 17 2015 12:44pm     0 455

Photo Credit:Twitter.com   Tingua risto

Manze raiya ya Nax iliona mbaya baada ya kushafuiwa na kudema nyagu imespoil. Ilibaki wadhii wannei wamegenya na wengine kusurvive lakini ni juu waliweza kufikishwa hosi on time.

Among wasee waliuma pamba kuna Bishop wa hisihi mtaa ya Kenlands. Inakaa raha za kudishi hisihi sosee ya kiafrika, a.k.a mutura, ilingiza ngori haijuani. Na sasa raiya wa Nax wanacry faul. Lakini inasemekana ni kama hiyo nyagu haikuwa imepigwa inspection yenye inafaa.

Sa inakabaki imeharibikia wadhii na kuwagei food poisoning. Kuna venye itabidi hasapa 254 tumekanyagia ama kutemana na tabia ya kumanga keroma zinakindwa kwa baro bana. 

 

Related Stories