Mechi noma sana ya wikendi

April 17 2015 1:59pm     0 965

Photo Credit:footbaltips   Tingua risto

Hii sato date 18th April patakuwa na mechi noma sana kati ya Chelsea na Manchester United, kwa game ya Barclays Premier League.

Tunacheki Chelsea FC, ndio wanalead kwa table na points 73, wakiwa wamefwatwa na Arsenal wakiwa na points 66, Manchester United wako place ya thado na 65 points.  Manchester wako nyuma ya Chelsea na points saba, hii game ikona uzito sana, juu ligi inaelekea kukatika sasa hanaku venye team yeyote ingetaka kuloose.

Chelsea inapush sana waweze kulift premier league, nao Manchester wanatry sana waweze kuingia uefa champions league ya next season .Position yenye Man U wako ni delicate sana, juu wakaweza shindwa matumaini yao kuingia champions itakuwa ngumu sana. Chelsea at least wako at a better place.

Sasa tunataka utuchapie utushow; unaona team gani inaweza shinda hii mechi, na pia predict dude zitakuwa ngapi ngapi, na itakuwa ni dude kutoka kwa nani?

Related Stories