Arsenal ikavuka na Community Shield

August 11 2014 9:59am     0 552

Photo Credit:BBC Sports   Tingua risto

On 10th August 2014 palikuwa na mechi bwaku sana kati ya Barclays Premier League Champions Manchester City vs Arsenal ikiwa inachezewa hasapo Wembely Stadium.

Hasapa tunacheki Arsenal iliweza kukung’uta Man City dude tatu mtungi. Dude ya fao ilitingwa na Santi Carzorla baada ya kuchapa shot jamo ya dabo hadi ndani kwa wavu. Kabla tu half ya seko iende kukatika, Aaron Ramsey akaweza tingisha neti tena kwa dude ya seko. Alafu baadae tunacheki, Oliver Giroud, akaweza tia ndani dude ya thado na Arsenal wakakuwa washindi .

Sasa Wenger anaweza tulia juu angalau ashaweka trophy jamo kwa cabinet. Coaches wa Man City alipoulizwa mbona kuchapwa dude tatu? Alidaisha ndio ameanza tu kuplay na maplayer wanira so bado hawajapatana vipoa , alafu maplayer wale wasodi wengi hawakuwa ndio maana.

Related Stories