Bolt anadai Tyson Gay achujwe sports

April 24 2015 12:12pm     0 2594

Photo Credit:The Guardian   Tingua risto

Usain Bolt ameinsist ile noma akidaisha sprinter Tyson Gay wa Steto, anafaa kuchujwa kabisa kwa sports. Tyson Gay alifail kwa drug test 2013 na akabaniwa mvua jamo. Sasa venye mvua jamo imededi atahave kurudi back kusprint.

Gay amekuwa competitor msodi sana wa Usain Bolt, but Bolt anadaisha decision ya Gay ilikuwa ya ufala sana kutumia drugs. Gay alishinda Bolt 2012, na ilikuwa challenge bwaku sana kwa Bolt. Na anadisha kusprint na Gay ilikuwa poa sana juu ilikuwa inamweka on toes na kutrain hard.

Inasemakana hii ban ingekuwa sodi sana, lakini venye Gay alishoiwa na Authorities aseme tu ni nini ilihappen and then wareduce ban yake. Na Gay alidu hisivo akawashow ukweli ndio maana ban yake ikawa pienga ya mvua jamo. Sasa Bolt atahave kucompete tena na Tyson Gay this summer, kwa World Championship husuko Beijing. Hii ni place Bolt aliwaishinda Gold Medal kobole; 2008.

Bolt ansema kucompete na Gay inamkatisia ile deadly na sio eti ana mgwaya, but alihata respect kuenda kutumia madawa. Last month Nike ilikwara risto ati wanadaisha kuchora Gay kwa rosta yao, juu walikuwa wanasaka player mwenye yuko reinstated from drug ban.

Related Stories