Lazima kusaka hii ganji….

April 27 2015 11:56am     0 595

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ikimuja riba kuhusu kumekisha mkwanja, hanaku kufikiria kuhusu dini. Haijalisshi background ya msee, chenye inafaa tu, ni hustle kukuwa real. Obadiah Maina ni wagidhomo mbaya, lakini akiwa na miaka salasa na nane, ni mjamo wa mamillionare hasapa 254.

Risto yake ni simple sana, amekuwa mukorino miaka zake zote, lakini alienda chuo na kuchop kama wasee wengine, alafu akaangukia waks kama odijo yenye alikuwa anawai salo ya thao kinde na mbexes solo. Lakini aliflip script ya life yake venye alianzisha biz ya kukinda waruu.

Venye mkwanja ilianza kuingia vifiti, alianza kuget mabeshte wanakopesha doh na akapata idea ya kuanzisha sacco, yenye wakikopa ganji wataregesha na interest kiasi. Hasapo ndio akamuja na kampu sahii inatambulika kama Good Life Sacco, husuko Thika.

Kutoka hapo hakuwahi cheki manyu tena. Na inasemekana sahii biz yake iko worth mita soh kobole. Ako step jamo away from kuanzisha benkiko yak wake. Maina anadaisha na bado. 

Related Stories