Speed limit ni ya chwani

August 28 2014 12:18pm     0 424

Photo Credit:K24   Tingua risto

Ngware wadhii kibao wamejipata kwa noma baada ya kudandiwa na The National Transport and Safety Authority (NTSA) kimoja na ma mbang’aa. Wadhii wenye walikuwa wanadandiwa ni wale wenye walikuwa wanapitisha speed limit ya chwani kwa ubaro za kuingia GG.

NTSA pamoja na mambang’aa wana implement hii rule kwa ubaro zote zenye zinaingia GG, na ma motorist wana expectiwa ku comply na hii rule. But pamekuwa na complains kutoka kwa ma motorist kibao wakidaisha hapaja kuwa na awareness ime creatiwa na NTSA pamoja na Mambang’aa. Wasee wanadai atleast wange have kuambiwa first ni day gani crackdown itakuwa juu ni wasee fogo wamepatikana off-guard.

Ubaro zenye zitakuwa zinachekiwa sana ni along Waiyaki way, Valley road, Mombasa road, pamoja na Lang’ata road. Unacheki aje juu ya hii speed limit, inafaa ama haifai? nichapie oya!

Related Stories