Supersonic Man... Sixi ame rudi?

October 15 2012 12:24am     1 26760

Photo Credit:Red Bull   Tingua risto

Kuna usuyu mzeiya kutoka Australia ... tuna think yeseye ndio Sixi mnira!
Huyo mzeiya ni skydiver nifla ana itwa Felix Baumgartner. Ame toka ku vunja recodi ya ku free fall kutoka Stratosphere.
Saa zile sisi tuko busy tuna iba mei, street signs, crash barriers, lamp posts na ku overlap, kutema mate ovyo ovyo, kunyora worse than ma wagido na maujinga kaa hizo ... kuna watu wako busy na vitu za ajaabu!... kama hii.

Related Stories