Bora jeggli ziko yadi…

May 5 2015 4:40pm     0 448

Photo Credit:Google   Tingua risto

Inadaishwa mbuus nifla anaitwa Rebecca Grant amekuwa waks kama reporter miaka kadhaa. Lakini hakuwai tambulika hadi baada ya videsa yake kusambazwa kwa internet akiwa anajishika majeggli.

Husuyu mbuus amekuwa famous na hadi ameshaanza kuwai offer za waks kutoka stenje zinengi za telly. Ata hivyo bado anakazana kudaisha alikuwa anajimekisha cladi na nywele na hajaelewa kwanini wadhii wanambandika jina ya; ‘boob-grabber’

Hisihi risto yote ilihappen akiwa ameenda kucheki team yake favorite ya bake yenye inatambulika kama the clippers. Rebecca anazidi kudaisha yeseye ni fan wa game ya bake, na anataka focus irudi kwa hiyo team tena. 

 

Related Stories