Walami wakamadana kwa street?

May 19 2015 2:49pm     0 2065

Photo Credit:Google   Tingua risto

Nikidhani hisihi ndio mara ya fao baada ya miaka kibao kuskia risto kama hii. Tumezoea sana kupata riba kuhusu gang za mamiro wakimadana juu ya mambo kama territory ama ufala tu zinengi.

Makarao wa US state ya husuko Texas, wanadaisha hishi inaweza kukuwa jamo ya the worst gunfights kuwai recordiwa. Ilikuwa ni zogo kati ya biker gangs (wakiwa walami tupu), na ilisababisha wadhii nine kugenya na wengine kinde na eight kupata injuries mwenda. Alafu wengine kama soh jmao wakabambwa na kutupwa neti.

 

Manze waliangushana mchana lembe ya area ikona maoduko na maresto, places zilikuwa ziko crom na mfamo na raiya venye hii ngori ilianza. At least hanaku raiya walijikuta kwa hiyo crossfire. Lakini baada ya vita, makarao waliweza kukwachu weapons kama soh jamo kutoka kwa scene.

Ilibidi mabizna kutingwa vile parasha ilivuma ikidaisha gang members wengine wanamuja kujoin kwa fight. Kumbe hizi gang hukuwa na laws zao pamoja na symbols, initiation rules na wera yao ni organized crime kama kukinda mabunde na tap tap. 

Related Stories