Solar mwenda huko India

May 28 2015 12:43pm     0 657

Photo Credit:CNN   Tingua risto

Inasemekana wasee thao jamo na mbaula wamegenya baada ya solar mwenda kuwaka husuko parts za India. Mchana temperature ya husuko imekuwa ikifika average ya 47C hii inamaanisha imepanda na 7 degrees na normal temperatura.

Earlier hii wiki kunazo parts zenye hii solar ime affect hadi ubaro, zimekuwa zikonekana ziki melt. And then ukipiga round tao utacheki mavibanda fogo zikiwa na cups za planyo zikiwa na waba ndani za wasee kujisaidia nazo juu yaku hydrate.

Kuna mdhama mjamo anajulikana kama Amruta Bai, ali jitolea nakuamua kusadia wasee, na yeseye ndiye anageish wasee waba sare kwa kibanda yak wake. Anadaisha after kila dakika mbili kunao wasee wenye wame simama kwa kibanda yak wake wakidaisha waba ya kunywaku.

Wasee wale wanaumia sana ni wale wenye hawana makao hawana place wanaweza jikinga hisiyo sola mwenda mchana. But ikifika magidhaa za usiku wasee huonekana wakisakanya simiti ama chuma and then wanazilalia juu at least zitakuwa na njeve nifla 

Related Stories