Habari chop! chop!
October 18 2012 11:42pm
0
2017

FINALLY!!! Kama tunge kuwa S. K. Macharia tunge shout "last bibi ya chura!"... Royal Media Services wame boti heli nira ya ku gather news.
Kama kuna mKenya anajua venye ku kaa lembe basi ni Masha! Ame amua hii game ni mambo na teke teke.
Big-up bwaku tu sana kwake na RMS kwa ku boti news heli ya fao ya Kenya!