Mahater wajinyonge…

June 20 2015 11:30pm     0 587

Photo Credit:Google   Tingua risto

Ni blanda sana ukiget wadhii wako kwa maisha yako wakitry kukatsia venye utaishi na kadhalika. Mara mob unapatanga mater kama hawa hukuwa wanado mabaya zikichangamshwa na mawivu.

Kuna wadhii huweza kubeat hiyo system na kujisimamia vifiti baaden na kwa hii riba tunakuchapia kuhusu mjamo kama huyo. Aisha Nabukeera kutoka UG, ni nguna amekapitia kweli.

Akiwa teenie tu, alichomwa na step masake, akiwa ametumia mafuta ya taa, aksi ilimuacha akiwa na scars mwenda kwa mwili. Hisihi incident ilihappen huko 2006, na ilikuwa ya uduu njaro maceleb kama Jose Chameleon na Juliana Kanyamozi waliorganize charity concert ya kuraise ganji ya kulipia bills zake za hosi.

Hadi raiya anatambulika kama Frank Gashumba , alijitokeza na kukwachu responsibility ya kukuwa bazenga wa kwake. Akiwa anamlea aliskumia ajaribu kukuwa model. Baada ya kutry luck yake, Aisha aliweza kuwai position kama mjamo wa mambuus watakuwa kwa Miss Uganda Beauty Contest 2015.

Grand finale ya hisihi compe itafanyika July 10th na kuna venye anweza kupenya kama mshindi. Inadaishwa alibamba majajiko na brains na boldness yak wake. Enyewe kama kuna voting process ata misimi naweza kumchagua bana.

Related Stories