Nguna alipenda kukuwa serial bride

June 11 2015 4:58pm     0 447

Photo Credit:wordpress   Tingua risto

Lazima husuyu nguna kutoka New York akuwe amefyatukiwa vimezesha. Husuyu mbuus wa miaka salasa na nine, ametupwa neti na anacheki kuserve miaka nnei juu ya kukuwa na mahazii kinde.

Kwa wasee wote alimarika kwao, bila kukwachu divorce na akiwavako ndio mara yake ya fao kumarika kila time. Inadaishwa alianza hii riba kati ya  November 1999 na August 2002. Hizo wedo zilikuwa filed husuko Bronx, Westchester County, Long Island na area zinengi ninda ya New York.

Kwa marriage cert zote hakuwahi badilisha jina zake except for spelling. Blanda inengi ilipatikana kwamba mahubby ka wasabi walikuwa kutoka kwa ‘red-flagged’ countries ikiwa Egypt, Turkey, Georgia, Pakistan na Mali.

Kulingana na FBI agent Manny Gomez, huyo msus alifanya security breach bwaku sana juu kati ya hao majamaa kungekuwa na terrorist mwenye angeweza kukuwa citizen legally.

Makarao sahii wanazidi kuinvestigate mahazii wote kinde wakidaisha kujua reason yao kumuja Oteto.  

Related Stories