Wacheni ma mude wambuku
October 8 2012 8:45am
0
2393

Kuna hii risto ya mude nifla wa miaka 14 huko sides za Voi. Mude alikuwa ameforsishwa kumarika na mbuyu wake lakini aka kwara juu ana jua bila kumbuku, maisha ita kuwa ngori.
Sisi tuna insist watu waache waniaju wao wambuku wajichoozie life yao. Ama?