Venye mamboch hukamu wanakuwa co-wife

December 11 2013 2:34pm     1 2156

Photo Credit:Shirley Genga Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/lifestyle/article/2000099690/how-house-girls-become-co-wives?pageNo=1   Tingua risto

KumarikaKuna wasee walikuwa wanachapiana mjamo akaamua kufungua roho. Aka mshow akona mama kwa hao lakini hakunaga wera yeseye hu du akiwa kwa mbanyu.Kazi yake ni kuyebi ma soaps na kumekisha tu makucha zake, aka zidi akidai eti atabediko hatandikangi atakuosha bedroom pahali wanatuna hashuguliki ni mboch hufanya.Ata kushugulikiangi watoi wake ngware after wamengwareka wakiishia chuo.Sasa humjama alikuwa anadai kama wife ako hiyo design ana prefer kusakanya wife muinengi. Juu sasa husuyu mboch ndio ana care juu yake sana kuliko wife yake.Juu sazingine sio lazima msee akupende lakini anafaa ku care.Hapo sasa ndio mjama anajipata na interest zake zina anza kwenda kwa mboch,na baadae utapata inlead kumarika.Kama wesewe ni wife una faa kuwa na tabia ya kupika kufanya usafi sio lazima mboch akuwe na du kila kitu kwa hao, juu kama ni kila kitu ata ikifika nipande ya kumangana pia yeseye atakuwa na share pia.Ama unakemba aje hii riba.

Related Stories