2015 Editon ya Kagame Cup

July 1 2015 11:56am     0 2072

Photo Credit:Luke Oluoch   Tingua risto

Kenya Premier League champions Kogalo, wamesundwa kwa pool ya Group A kwenye 2015 Kagame Cup.

Group A: inaconsist Yanga (Tanzani), Gor Mahia (Kenya), Khartoum (Sudan), Telecom (Somalia) na KMKM (Zanzibar). Na game ya fao itakuwa kati ya Gor Mahia na Yanga husuko Dar es Salaam on Sunday date 2nd .                                

Tunajua 2014 ilikuwa staged husuko Kigali Rwanda, na El-Merreikh ya Sudan ndiye waliweza penya na hisiyo trophy. Ebu tugei prediction ya kwako ni team gani round thisis inakaa kupenya na hisihi trophy?

                                   

 

Related Stories