Trust boti kumekisha baro!

July 15 2015 4:26pm     0 773

Photo Credit:Google   Tingua risto

Kampu jamo ya husuko Dutch, inadaisha inaweza mekisha baro kutoka kwa boti za plastic. Kumaanisha recycling sasa itakuwa wera mwalala kuruka. Alafu madere watasahau ata kusema ama kuhusu potholes kabisa.

Enyewe hisihi project ikaenda poa itakuwa imesave mabo mbexes crucial. Jamo ikiwa tako, kutokana na boti za plastic alafu ya seko ikiwa potholes kwa baro. Risto ya aksi za ufala ama mandae kuspoil juu ya potholes itapotelea mbali.

Kupitia hisihi design nira, itakuwa posibble kuchuja section ya baro yenye iko damaged alafu kureplace ikiwa slotted pamoja kama Lego Bricks. PlasticRoads zitakuwa zishamekishwa kwa factory alafu badala ya kuchukuwa miezi kumekisha baro, itakatiza waks kukuwa ya wiki bana.

Pia zitakuwa hollow ndio ziweze kuprovide easy access for cables na pipes zenye hukuwa nichi ya surface. Risto ya vumbi pia itakuwa imemalizwa kwa mabaro.  

Related Stories