Chuo za ajaabu!

July 24 2015 3:38pm     0 627

Photo Credit:Google   Tingua risto

Chuo zinakuanga area za kuget education, ikiwa njaro ya kuwai skills zakusaidia wadhii kimaisha. Ni kawa kuget mastiude na maodijo, alafu  desks na blackboard.  Pia hukuwa inatambulika kama system juu ya vile kuna rules lazima zifwatwe ikiwa njaro ya kuweka discipline kwa mastiude.

Lakini kumbe kuna chuo zimeamua kuchukua njia tofauti sana. Kwa mfano kuna chuo iko Spain inadaishwa hufundisha mastiude wake kukuwa malanga wanoma kuruka. Juu upoko iko legal husuko, wanafudishana njaro za kuduu biz na kutambua skills za lungula.

Inengi ikiwa primo iko husuko China inatambulika kama Dongzhong Mid-cave school. Ilianzishwa 1984  kusaidia waniaju wametoka kwa yadi imesota kuruka. Hadi ilibidi daro zikuwe ninda ya caves. Lakini ilirudi kutingwa miaka mbao na three baaden na gava ya China.

Kuna chuo zinengi ziko area za ajaabu, places ata huwezi dhania chuo kukuwa. Jamo inatambulika kama Abo Elementary iko Steto inasemekana kukuwa underground. Husuko Bangladesh kuna kadhaa zenye hukuwa kwa boat alafu husuko India wakona chuo kwa train platform, yenye husaidia waniaju machokosh na beggars kupata education pia.

Husuko New York  kuna chuo ya mafago, wale walilemewa kuchop kwa chuo za kawa juu ya kukuwa bullied viexcess. Inengi husuko Massachusetts hufundishana witchcraft alafu inengi ya Brooklyn, mastiude huchop bila curriculum. Mastiude wamekubalishwa kuenda daro yenye wanajiskia .

Related Stories