Parasha kuhusu Rose Muhando…

August 5 2015 10:51am     0 1491

Photo Credit:Google   Tingua risto

Hisihi ikiwa jina bwaku sana across East Africa, husuyu msanii wa ngoma za Gospel kutoka TZ amejipata kwa ngori kuruka. Inadaishwa kuna venye amechanganyikiwa na njia yenye anataka kufwata.

Enyewe ata kama hanaku law inakazia msee kubadilisha religion, yeseye ametumia freedom ile yote iko na iko almost kuisha. Bafo kuanza career ya kuimba ngoma za Gospel, inadaishwa Rose Muhando alikuwa Muslim ameshikamana.

Sa unaweza shangaa vile alikuwa anachora ngoma zimevuma kuruka, kama hiyo maisha ilikuwa mavako tupu! Majuzi tu ndio kumekuwa na riba zinadaisha eti alichuja ball na pia that amekuwa akijibleach. Baaden parasha zimezidi na kudaisha ametemana kukuwa Christian na akarudi kukuwa Muslim tena.

Sijui kama hizi ni masaibu za kuomoka, ama ni msanii tu mwinengi amefyatukiwa? Blanda ni vile alikuwa na mafans kibao wamemuamini vimajor. Sa wanafaa kujiweka category niga, kama source ya inspiration amekosa mwelekeo?

Related Stories