Gadge for breko?

August 14 2015 11:31am     0 288

Photo Credit:NPR   Tingua risto

Inadaishwa kukuwa breko jamo ya afya sana, ikiwa ni traditional Bavarian Fruhschoppen, yaani Breko ya Machampee. Baadaya ya kampu yenye humekisha cereal inaitwa Wheaties husuko Minneapolis kujoin na local brewery, walimuja na hisihi product nira.

Ikona yeast na wheat proteins kumaanisha itakuwa healthy the same na kudema cereal. Itakuwa ikimekishwa kama Guiness lakini ikiwa low kwa tei. Kumbe kuna taste ya coffee, choku na kiasi bitterness ile ya gadge. Project yenyewe imewanice hadi packaging yake itakuwa same nay a beer za kawa.

Manze hapa ndio unaweza shinda ukijitetea venye unatake breko magidhaa zote za siku. Kuna mudhii amedo videsa ya kushow venye msee anaweza dishi cereal na beer, kumaanisha hisihi product nira pia itaweza. 

Related Stories