Finally wasanii kuwai justice!

August 14 2015 12:14pm     0 461

Photo Credit:Google   Tingua risto

Yaani iilibidi decision ya kotiko kulazimisha radio na tv stenje both public na private kuanza kucheza ama kushow 60% ya local productions. Kwanza wale walikuwa wanaumia vimost, ilikuwa wasanii wa ngoma local.

Wasanii huku njei wamekuwa wakiumia hadi ilibidi wamesaka hustle kupitia njaro zinengi, kuingiza kakitu. Kama kuna leader amewashughulikia, ni Sports, Culture and the Arts Cabinet Secretary Hassan Wario. Aliweza kuangusha National Music Policy yenye itaensure rights za wasanii ziko protected na raiya wataweza skiza ama kukemba ngoma za local artists.

Enyewe tumekuwa tukiskiza ngoma za Nigeria, UG, TZ na S.A. Hadi tumekaa kama wadhii wamechanganyikiwa juu tumehata kutambua beat yetu ya kipekee. Wasanii wataekewa pressure kumochoa ngoma zenye zikona quality mwenda na pia authentic, yaani hanaku riba ya kuduplicate style za majuu. Labda this round sasa tutaweza kuwakilisha vimost. 

Related Stories