Msee mbuzi…

August 17 2015 12:54pm     0 1630

Photo Credit:Google   Tingua risto

Thomas Thwaites  kutoka Brito, ni mjamaa aliamua kuchuja maisha yake kama binadamu na kuenda kuishi na mbuzi husuko kwa milima. Reason ikiwa, alizikenga vile zinaishi, akabambika na akataka kukuwa kama mbuzi.

Inadaishwa alikuwa ameenda kuinvestigate goat behavior husuko kwa the Swiss Alps. Alikaa nazo siku tatu, lakini akafikia exptremes baada ya kumekisha prosthetic limbs zenye zingemkubalisha kumbetea kama mbuzi (na miguu nnei). Alafu bado akajiwekea tumbo imbo ambapo angeweza kudishi nyasi.

Alirudi kudaisha alikuwa anataka break kama human. Hisihi ilikuwa ni holiday kutokana na pain, kugwaya kujihusu  na kuhusu future ama kukuwa na  regrets kuhusu zamo. Yaani ilikuwa ni njaro ya kushow venye binadamu hutumia technology kufikia desires zao.

Alichagua mbuzi juu ziko care-free sana. Alafu hazijawai gwaya adventure. Enyewe kama alijikuta akijaribu kupanga side ya mlima yenye hukuwa na madimanga bila kutumia mikono, hii kama si ulovito basi ni kufyatukiwa

Related Stories