Ukedi inaishia

October 23 2012 6:30pm     0 2103

Photo Credit:Popsci   Tingua risto

Kuna research imedoiwa huko SA na kuna waresh wambee wamekua wakisaidi hio risto. Madoki wanadaisha kuna vile results zinakaa fiti...kunaweza patikana vaccine ya ukedi. Unaona hii itakua kitu poa ama itafanya wathii wasare kujichunga?

Related Stories