Mboiyz-Mbuus akona sura ya Kim K!

September 11 2015 3:39pm     0 1060

Photo Credit:Google   Tingua risto

Blanda ya kukuwa celeb ni vile wasee huchizi wakikazana kujaribu kufanana ama kuishi the same. Matime ni njaro poa ya kujindonyo lakini kuna zinengi ziko extreme sana.

Sa juu dunia nzima imekuwa ikifwata maisha ya Socialite wa Oteto, Kim Kardashian, kuna venye msee anamfanana huget attention kibao pia. Hisihi ikiwa ni transgender mwenye anajitambulisha kama superfan wa kwake, mwenye anatambulika kama Thalia.

Thalia alizaliwa akiwa mboiyz, lakini by the time akuwe teenie alianza kujibadilisha kukuwa mbuus. Vile aligrow alizidi kuget butt enhancement na breast implants na kuboti cladi expe kuruka. Aliget look ya idol wake lakini juu ya obsession ya kwake haijakatika, sasa anasaka hubby mwenye atakuwa kama Kanye West.

Anadaisha hii maisha nira inambamba kuruka juu raiya wamemkubali. Hadi akienda shoppe ama klabu anafwatwa na wadhii wanataka kuget selfies na yeseye. Inakaa ata ganji imeanza kuingia vipoa sahii juu amekuwa celeb kama Kim K.

Related Stories