Kuhusu obesity ninda ya famo…

September 18 2015 6:32am     0 2128

Photo Credit:Google   Tingua risto

Study nifla inaaisha eti ile mbana umeshikilia ya kuzaliwa inaweza kudetermine weight koya. Firstborns wako kwenye risk ya kuwai health problems kama obesity zaidi ya siblings wake. Alafu ni kama hanaku njaro ya kuhepa hii situation.

Mafamo za siku hizi zimekuwa pienga. Ambapo utaget waniaju wakizidi sana watakuwa watatu. So maugonjwa za famo hazikui distributed kama zamo alafu inabaki firstborn amebeba ile risk bwaku kabisa. Chances za kuwai diabetes na high blood pressure ziko fogo.

Alafu inakaa mambuus wako in more danger, san asana wakiget odumbo. Hisihi ndio time wanaongezanga weight alafu inarudi kukuwa hard kulostisha hizo kilo waligain. Bado research inaendelea ya kujaribu kuelewa vile hizi mambo ziko related lakini kabla wapate majibu heri kuanza zoezi mapema.

Related Stories