Hakuna holiday

November 23 2015 10:09am     0 98

Photo Credit:Stanford   Tingua risto

Ka ulikua unatarajia kubangaiza mtaani from Friday juu ya visit ya Pope Francis itabidi umefanya kuraukia mapema juu life itakua kawa....Gava wametoa riba that hakuna public holiday ati juu Pope ako yadi. Hii ilikua riba ilitolewa na Spokesman wa State House, Manoah Esipisu. Hii ni juu for a couple of days raiya kadhaa ilikua inadaisha kupewa holiday juu ya ile chaos itakua in terms of traffic na kupita ama kutumia jiji. Hii ilikua mainly juu ya ile list ilitolewa kushow ni ubaro gani zitatingwa Pope akilandi.

Lakini gava on the other hand hata ka haitapeana holiday, wanadaisha wadosi wafanye mambo kupea raiya flexi-hours, yaani wajipange wasee wasihate idhaa ya waks na wakitaka kuenda events na mass za Pope wapate chance, lakini waks lazima iendelee. Mzito Manoah aliendelea kusema, wamesunda plans na measures za kutosha kuhakikisha ubaro zitakua zinaflow na safety ya raiya na Pope zitakua shwari.

Hii itakua mara ya fao for Pope Francis kukam Africa, na ukukenga histo, the last time Pope alikam hasapa 254 ni back in 1995, hii ilikua Pope John Paul II mwenye alikua amekam mara ingine bafore pia. Hii ni riba poa juu raiya wanadaisha bado tuko kwa map ya destinations mwenda za kutembea after POTUS atembee a few months ago.

Unaona ka Pope atabonga Sheng pia yeye?

Related Stories