Refugees kulenga food

November 24 2015 10:01am     0 172

Photo Credit:Info Wars   Tingua risto

Ka kuna riba sad ni kuona huwezi saidia neiba wa kwako akiwa kwa noma...lakini even more sad ni vile country zingine zimekua zikifanyia wasee wanahepa mtaa ya kwao juu ya noma ziko hio sekta. Kawaida wasee watahepa mtaani kakinunga either juu ya war, political unrest na situation zinigine kadhaa na normally msee hupenya direction anakenga life haitakua noma lakini kuna umati nifla ilikwama kwa border ya Greece na Macedonia, wakakatazwa kupenya.

Hii rende imekua ikiongezeka for a while juu Balkan country kadhaa (hizi ni countries ka kina Greece, Albania, Macedonia, Bulgaria, Yugoslavia na Bosnia) zimekua zikilenga wasee kiasi kupenya kwa border zao from tarehe 17 hii November. Ilibaki hii rende wameamua kufanya hunger strike juu ya hizi restrictions. Walidaisha kushona midomo na uzi na mbisha kadhaa ziliwekwa kwa mtandao zinashow hawa wasee wakishona midomo. 

Hizi country zinadaisha kulenga wasee hawawezi prove ka wametoka either Syria, Afganistan ama Iraq. Wanasema wasee hawajatoka hizo area tatu ni economic refugees na wanaweza rudi bez wametoka. Unfortunately kuna wasee pia wametoka Iran na the Kurds juu kwa hizo mbisha unaweza kenga wasee kadhaa. Unfortunately inakaa kuna wasee wamekua wakidandia hizi opportunity kupenya country zingine na hii ndio kitu hizi country zinatry kucontrol. Hii imekua noma kwa wale wasee hawana paper kushow country wametoka, hata among wale wametoka zile country tatu ziko allowed.

Inasemekana place iko genje kabisa ni Idomeni border kupenya into Greece place kuna wasee zaidi ya thao mbekna (2,000) kutoka Moroco na Iran na country zingine wako stranded. Ngori pia ni wengi wa hawa wasee hawawezi turn juu wakibambwa wakirudi bez wametoka wanasundwa neti juu ya kuhepa. Sasa wako tu na pia hawawezi pita kw ahizi border bila kusundwa neti pia. Imekua situation moja tense sana kwa wasee. Wasee wa Human Rights wanadaisha EU inafaa ifanye mambo faster juu pia weather inaendelea kuchange na itakua worse over the next couple of weeks.

Related Stories