Huyu boiz Lucas

November 28 2012 1:48pm     0 315

Photo Credit:Lucas Leiva   Tingua risto

After kukaa mtaani juu ya injury, Lucas Leiva anarudi kwa squodi ya Liverpool. Dongera anadaisha sasa watakua wanakung'uta team zingine vifyam na kuna vile trophy inaingia kwao. Unayebi Lucas atafanya mambo ama ni pang'ang'a tu za kawaida?

Related Stories