Suarez aka chochwa na ma-fans Barcelona

July 22 2014 10:07am     0 2114

Photo Credit:Jide Alaka   Tingua risto

Inasemekana Suarez akiwa anatia round husuko Barcelona on Sato, wakiwa wanaget familiar na hiyo place, ma-fans wake walimdandia na kuanza kumchocha.

Suarez alijoin The Catalans kutoka Liverpool na mita sabini na kobole zikiwa pounds; ingawaje Suarez anajulikana kwa umang’a zake. Ata recently  kwa World Cup husuko Brazil, alibite husuyu player wa Italy, Giorgio Chielleini, hii ikiwa incident yake ya tatu.

Saa bado haja unveiliwa formally juu ya kubanniwa na  FIFA for four mounths, so bado hawezi cheza game zozote hadi around huko October. Hapo sasa ndio anaweza join ma team-mates wenzake, Messi pamoja na Neymar. But ata hivyo bado ma-fans walitake time kushare na yeseye waki piga mambisha akiwa ana sign ma autograph.

Related Stories