England ika angaishwa na Uruguay

June 20 2014 12:23pm     0 1836

Photo Credit:www.bbc.com   Tingua risto

Ata kabla kupona vizuri bado ali prove yeseye ni mnoma, baada ya kuonyesha England unyonge. Suarez ali lead team yake kwa kufunga dude ya fao against England, after kuhata mechi yao ya kwanza yenye wali kung’utwa dude tatu kwa jamo na Costa Rica.

Suarez alitinga dude ya fao kupitia hedi noma sana, baada ya dakika sita hivi Rooney akaweza sawazishia England. Alafu mechi ikiwa karibu kukatika Suarez aka sawazishia Uruguay na dude ya pili. Sasa hopes za England ku qualify to yhe next round imekuwa ngumu.

England sasa wako nje lakini wanaweza penya tu kama Italy team yenye iliwabitika itaweza shinda Costa Rica juu pia wao waliweza bitika Uruguay dude tatu ka jamo. Na bado England ina depend na Italy ishinde game yao na Uruguay, alafu England ikigusa na Costa Rica lazima washinde na washinde na madude most ndio waweze kupenya na goal diference.

Coaches wa Uruguay Oscar Tabarez anadaisha Suarez hakuwa 100% fit venye alikuwa anagusa na England but yeseye alikuwa threat bigi sana kwa defence ya England na aka manage kupenya na dude mbili.

Tuki yebi side ya England Rooney alikuwa pia threat bigi sana kwa side ya Uruguay akiwa ana play central mid. Daniel Sturridge na Sterling hawakuwa na makali kama game yao ya fao, but Rooney ndiye alikuwa sunbua. Alianza na free-kick yenye ilipita tu juu ya post ikiwa tu kiasi kuingia, alafu pia akawa na hedi yenye aliwai na ikagonga chuma. Baadae akapata chance ingine akajaribu kuskuma short but ikashikwa na gola wa Uruguay Fernando Muslera.

Alafu baadae kismat ikajipa baada Rooney kupata crosi kutoka kwake Glen Johnson at a close range na akaweza tia kitu nadi kwa net, ikiwa dude yake ya fao kufunga akiwa anachezea National Team ya England World Cup.

Tuki cheki stats za hii game tunaona ball possession ikiwa Uruguay na 37% England 63% alafu,  shorts zikiwa 8 za on target zikiwa 2. England shorts 12 on target 6, coners 7 uruguay alafu England 6. And then fouls Uruguay 17, England 12 full time game ikaisha ikiwa Uruguay-2 England-1.

Related Stories