Nganya bado zimekwara kurudi ubaro.....
December 3 2012 1:56pm
0
2380

Wadhii wa mathree bado wamezidisha strike yao hadi leo,so imebidi wadhii kunyorosha hadi wera na kulipa mkwanja mob....Hii story itaisha lini jo???