Aboud Rogo ame manyuria lakini ku riot si solution

August 28 2012 6:02pm     2 2628

Photo Credit:NTV Kenya   Tingua risto

Aboud Rogo ame manyuria huko Coastarika lakini blanda sasa ni ma yut wa Coastarika wame enda riot wana choma ma Church wana loot ma shobe na ku mada wadhii. Swali ni ... mbona wa riot na ku umiza watu hata hawana part na hiyo risto?

Yebi hii link ucheki venye riba ilikuwa na husuko

http://ntv.nation.co.ke/news2/topheadlines/sheikh-aboud-rogo-auawa-bamburi/

Related Stories