Boiz wetu Tarbei
September 6 2012 1:13pm
1
4997

Huyu boiz, Abraham Tarbei ametufanyia poa jea, amekwachu ki gold after kutoka nduki, 1,500m na dakika tuta, seconds 48 (3:48) kwa hizi Paralympics zenye ziko huko East London. Shangwe nazo?