Sheng Idiom
Toka kapa
Meaning yake : To run fastIdiom usage : Dingo alitoka kapa vile rende ilimkaribia = The thief ran off, fast! when the mob approached him
Words kama Toka kapa
Kapaa   — (kah-paa)  [Noun]
 Meaning yake:  A Thousand (1000) (Usually Currency)
Word use: Niko na kapaa yako = I have your (one) thousand shillings

