Nyuki zinanywaku supu!

July 23 2013 11:34am     0 439

Photo Credit:By Niaje   Tingua risto

Coast huwa area jamo haikosi vituko karibu on a daily basis. Sasa kuna  kibanda nifla ya dema husuko yenye imejipata na risto ya aajab. Inasemekana kwa hio kibanda, nyuki hupenda sana kukam kunywaku supu ya nyama.

Unaweza dhani zikikam kukunywa supu kila msee hutoka nduki but risto ni, hazinanga shughuli na wasee, juu eti hazijawai dunga ata msee mmoja. Saa zingine zikimalo risto ya supu, ziujibamba na juo ya limau pia. Wadhii wale wamecheki hii riba ni kibao, inasemekana mpaka wasee hukam kutoka far kuyebi hii risto na hua hata hawajali ka wataumizwa zikiamua kuwashambulia.

Raiya kadhaa wanadaisha hii lazima ikuwe tu risto ya magowe. We unaonaje hii riba, ni mashaito ama?

Related Stories