Machuo za nasho zime ongezwa

December 31 2013 11:21am     0 422

Photo Credit:Diana Ngila   Tingua risto

Jana gava ilitoa list nira ya machuo zime upgradeiwa kuwa National Schools. Results za exam zinatolewa leo na sasa hii risto ya machuo kuupgradeiwa inatuwacha tukiwaza venye selection ita doiwa juu waniaju walikuwa washa select ma chuo zao

Related Stories