Ombitho kwenye hizaus

January 2 2014 2:18pm     0 519

Photo Credit:Cannabis Culture   Tingua risto

Duru za kuaminika zimetuarifu kwamba state ya fao huko Oteto jana (Jan 1, 2014) ilimake ombitho iwe legal design sasa unaeza ingia oduko uboti obriska yako gram kama mbao nane (28gm).

Colorado State ndio state ya fao kupitisha laws zinakubalia wadhi kuboti na kutumia ombitho so long as mdhi ako miaka mbao one na juu. Kuna watu wame teta ati ita make wadhi wakuwe ma addict but kuna watu pia wana wika hiyo argument haihold juu place kama Amsterdam obriska imekuwa legal miaka fogo na hawana hizo ma blanda za uaddict na upedi.

Wewe unakenga aje hii risto?

Related Stories