Njeve ikarudusha msee neti

January 8 2014 2:52pm     0 1558

Photo Credit: AM ET EST AP   Tingua risto

Nahuko Kentuckey kuna msee nifla alikuwa amehepa neti venye hakukuwa na njeve most.Ilikuwa on Sunday hiyo day ali hepa.Kufikia on Monday,akajiingiza hote nifla na akashow clerk call masanse.Akashow husuyo clerk ana dai kujirudisha neti ili aweze kuhepa weather mbaya ya njeve Ikakuwa ni wesewe unaweza jirudisha neti mwanzo hasapa 254?Ama kama wesewe ni sanse unaweza fanyia nini huyu msee?

Related Stories