Scene ya videsa nira ya Abbas

January 21 2014 12:14pm     0 1334

Photo Credit:Rae Kiragu   Tingua risto

Hii mwaka inakaa kuwa ya kismat sana kwake abbas.Kwa twitter handle yake alitushow mbisha kadhaa za videsa kwa ngoma yake nira. Na isitoshe anadaisha bado kunavenye album iko njiani inamuja.Kwa hii show inajiita the Jump off hu hostiwa na Corine wa Homeboyz radio tunayebi Abbas ndio ame maintain number kwa masiku kadhaa, na saa hii kwa hii industry ya mangoma hasapa 254 tunayebi ni competitive sana kumaintain number jamo kwa masiku kadhaa hadi ngoma yako iwe noma sana...hiyo ngoma ya Abbas inajiita Back Then.

Related Stories