Ukedi imewai compe...

January 28 2014 11:48am     0 457

Photo Credit:hero radio   Tingua risto

kama ulidhani kupata ukedi ni shadow, usikonde! Kuna ugonjwa nira imejitokeza na inasemekana kuwa noma zaidi ya ukedi juu haitambui tiba. Report kutoka CNBC inadai ni strain ya gonorrhea inakataa kutibika na antibiotics alafu ina cause mambuus wakue infertile, pia machali wanakua sterile, alafu msee akiiwai anakuwa na pain kibao na kushinda akiget infections za roho. Kile inaleta kiblanda zaidi ni ati inaweza enda for long kama haijadetectiwa lakini pale itachacha, utakamanyuria faster sana. Itabidi hiyo kondiecha iko on kila time.

Related Stories