Keroma kumea bila mchanga?

June 10 2014 12:07pm     1 1877

Photo Credit:Standard Media   Tingua risto

Kama ulidhani hii ni risto ya kuhappen in the future, fikiria tena. Peter Chege ni mkulima tofauti na wengine. Hapo zamo alikua wera ya kukinda chemicals lakini akajichuja na kuanzisha biz yake ya kumeesha veggies na dishi ya animals lakini bila kutumia soil.

Anadai chenye mse anahitaji ni waba na plant nutrients alafu unachill kuvuna mimea zinaingiza mapesa. Ati hii ukulima inajulikana kama hydroponics Na ata kama ikianzishwa ikona tunoma twake, kama plants kukuwa infected na fungus, ama green house kudai masti, inadaisha msee akona syke.

Juu mwisho wa maneno ni janta itasaidia farmers kuget keroma kibao ya wanyama kwa time short, kumaanisha ganji itakua best baada ya kukinda produce zake. Alafu risto ya kuteta ati umekosa shake, itakatika pap!

Related Stories