Venye kukaa kama umemarika!

June 13 2014 1:49pm     1 843

Photo Credit:Go Sheng   Tingua risto

Miaka 87 za kumarika si mchezo. Zelmyra na Herbert Fisher, ni couple jamo waliweza kukaa pamoja hadi siku ya kudedi. Hadi wakatokelezea kwa The Guiness Book of Records juu ya kuwa in the longest marriage.

Wesewe unatambua wasee wapinga wamemarika for long? Ukicheki advice kutoka kwa hii couple, marriage haikai kuwa hustle venye wasee husema. Na enyewe nikidhani, ni wadhii hufanya kucomplicate mambo tu. Lakini zile mara mob, tamaa ndio hufanya washikaji kuachana.

Kumbe kitu muhimu ni kupendana na msee ni beshte yako fao, alafu kupeana respect na support. Alafu ile muhimu vimost ni communication kati ya partners. Risto za mkwanja na famo zitajisort ukishatengeneza area ya nyinyi wawili kwanza.  Na lazima love ikuwe pale. Juu bila love hizo zingine haziwes mek.

Sa hisihi couple waligenya wakiwa na miaka soo na ngovo, na ilidaishwa waishi maisha to the full. Kwanza hazii ndio aligo fao alafu wife akamfwata. Juu hawangeweza kukaa apart.

Related Stories