Biz mzuka ya kukinda watoi…

July 23 2014 12:54pm     0 2285

Photo Credit:Mummy Tales   Tingua risto

Inakaa raiya wamekuwa na tamaa inengi mwenda ya cheddars vimost. Sa husuko Oyole kunayo biz inaendelea, yenye imefanya wasee kushangaa sana.

Kumbe kuna group nifla ya wamatha, wenye wanajifanya wamasa wengine kujifungua. Lakini wanarudi wanagondi hao watoi na kuwakinda to the highest bidder.

Hii biz inakaa imeiva tu sana, coz hadi wanadai hiyo mako ikona faida niaje. Msee akona thao soon a finje anaweza kuwai mtoi chali ama dem bila hustle. Lakini watoi maboy wanasemekana kuwa ‘hotcake’ vimajor, hadi bei yao iko higher kuliko ya mamanzi.

Alafu lugha ya biz ndio wasitambulike chenye wanado, inalinganisha watoi madem kama maharagwe, nao machali kama mei.

Ilipatikana wao hutumia chemist na clinic za mtaani kutarget wamadhe wale hawawezi afford kuenda hosi. Alafu wanarudi kuvako eti mtoi amegenya ama pia kuswitch na ule alikataliwa kwa deal tofauti.

Ata kama hao wamadha wanarun hiyo biz walibambwa, inasemekana bado kuna madonga wengine wale hawajapatikana. Na hiyo cartel haiwezi kuisha tu hivyo.

Itabidi mapero kukaa rada sana na watoi wao. Ikibidi kuenda na msee hadi kwa room ya kujifungulia, ndio kumark mtoi wenyu manze.   

 

Related Stories