Blanda za ulevi….

July 24 2014 4:10pm     0 707

Photo Credit:Google   Tingua risto

Tomasz Mucha, ni mjamaa wa miaka mbao na six, na kama wengi wetu hajawai panda ndege. Sa mara yake ya fao kupata hiyo experience, alijiweka kwa blanda ya kunywaku keroro fogo ikabaki amelewa chakari. Kuzidisha alikuwa anamizx beer na makali, aina ya vodo.

Badala ya ulevi yake kumshow ableki, alianza vituko kwa flight. Alitoka kwa kiti yake na kuenda kutingua mngola ya ndege bahati ilidinda kutinguka juu ya ile air pressure iko hasapo ninda ya ndege.

Tomasz alikua anafly tutoka Karkow to Dublin. Na anadai alilewa hivyo juu alikuwa anagwaya kupanda ndege. Alafu ati alikua anadhani anatingua mngola ya kuenda loo. Lakini alijiingiza kwa noma zaidi juu alitukana wasee wale walijaribu kumzuia.

Sa alibambwa nakufikishwa kotiko na hadi kufiniwa baada ya kuelezewa venye alikuwa anaweka wadhii wengine kwa risk. Sana sana angefanya hiyo ndege kudunda juu ya ufala yake ya ulevi. Sidhani atawahi taka tena kupanda ndege ever.

Related Stories