Mavako wasee hushare kwa FB…

September 11 2014 2:44pm     0 2386

Photo Credit:Google   Tingua risto

Social Media ilikujanga kusaidia wasee kuweza chapiana kwa dunia nzima bilaa kutumia mkwanja kibao na bila kutoka mayadi ya kwako. Lakini ubaya ni venye wasee wanaitumia kuspread mavako hazijulikani.

Zilla Van Den, manzi wa miaka mbao na kobole, ni stiude na husuko Netherlands, na pia ni msee kutumia social media sana. Sa aliweka mambisha za kwake akishow venye alikuwa trip ya wiki ngovo, hadi Southest Asia. Alimanage kufanya mabeshte na famo kuamini hayuko mtaani kabisa.

Lakini kumbe Zilla alikuwa anatry kuprove kila msee anaweza weka risto ya vako kujihusu kwa FB. Hadi alikuwa anaredecorate keja yake ndio ikae ni kama ako kwa hotel rooms tofauti alafu anaskype mapero wake na hawakushikanisha pia.

Aliweza kushow venye si poa kuamini kila kitu unayebi kwa net.Juu kuna wale hupenda kumanipulate wasee na ata wanarudi kuconn wasee ganji kibao ama kufanya criminal activities zinengi. Wale wengi ni fake tu.

Related Stories