Cladi za spoti kuleta matata…

September 16 2014 3:49pm     0 2012

Photo Credit:The guardian   Tingua risto

Team ya mambuus kutoka Colombia, walifika kwa tona ya cycling wakiwa wameng’ara cladi za ajaab sana. Hadi orezo wa UCI, Brian Cookson, alidai hiyo cladi kukuwa ‘unacceptable by any standards of decency’.

Enyewe ukiyebi mbisha yao ndio utaelewa kile ilifanya akazusha. Walikuwa mambuus wasita kwa team na wote wakiwa ninda ya kit za red na yellow lakini bado zikiwa na area inakaa kama rangi ya ngozi. Alafu kuzidisha ilikuwa mayadi hasapo chini ya waist.

Since hawakuchujwa kwa games, tunachill kucheki chenye watakam kama wamedunga next week. Juu bado kuna road world championship, na husuko Spain.

Related Stories