Mavako za mapasi…

September 16 2014 4:12pm     0 2247

Photo Credit:Google   Tingua risto

Imekuwa trend ya mapasi kutumia vibaya jina ya Sir God. Imefika mahali, ata imekuwa hard kuamini wasee wa chachiko, sana sana zile zina jina ndefu. Kunayo jamo inajulikana Vineyard Ministry of the Holy Trinity. Pasi akiwa Timothy Ngwu, mwenye sahii ako neti juu ya kubadilisha chachiko,hadi ikawa camp ya lungula.

Timo amekuwa akituna na mambuus wote wale wanafika kwa hiyo chachiko yake. Haijalishi kama ni manzi single ama mwenye amemarika, aliwacha ametia ndani ball. Hiyo time yote akidaisha anafanya wera ya God. Aliweza patia madem mbao odumbo na ata kumarry kobole kwa hiyo group.

Eti alikuwa anafwata ule dranya Holy spirit ingechagua, alafu kama wangepata mniaju, huyo mtoi angebaki kwa kanisa,maisha yake yote. Sa akona mawife ngovo na wakidi kinde na three, bila kujulikana mbana ya mampango wa kando. 

Related Stories