Reporter akachorea janta live on air

September 23 2014 11:26am     0 272

Photo Credit:The Grio   Tingua risto

Kuna mbuus flani anajiita Charlo Greene, wa husuko mayolo place inajulikana kama Alaska, alichorea janta live on air. Huyu mbuus alikuwa reporter station inajiita KTVA, na akaamua kuchorea hiyo janta kama reporter, kuenda kuendelesha rende yake ya kenti.

Yeseye mwenyewe ndiye alisema anadaisha kuenda kufocus na talent yake, full time kulegalize marijuana husuko Alaska. Alafu baadae aka apologize kupitia Alaska Dispatch News akidaisha, ana apologize kwa msee wowote wenye walikatsika na risto yake lakini ilikuwa decision yake kusare waks.

Kulingana na website ya Alaska Cannabis Club yenye Miss Greene ndiye sonko, inadaisha huwa wanadistribute kenti wakiconnect marijuana cardholders wenye wako in need na ‘medical marijuana’. Ikabaki on Monday, director wa KTVA news aliweza kuapologize to viewers wao through Facebook Page.

Unakenga aje hii riba, Msupa alido poa ama ilikua blanda? Yebi videsa hasapa

Related Stories